1.Before uende form 1,u had to buy sanduku za mabati...ati burglarproof,and bado zilikuwa zikivunjwa.
2.U had to borrow a leave out kuenda nyumbani...which was like next to impossible.
3.Uliosha shati na troja za mafourth........na ukikosa hukuwa unalala chuo.
4.Siku ya first ulihandwa ati upatiane zile chapo na nyagu ulitoka nazo home,ati wewe tajiri.
5.For some of u,manze the fact that mlikuwa na entrance exams really f***** u off.
6.Manze siku za mail delivery zilikuwa the most important,especially kama ulikuwa na mamanzi.
7.In relation to number 6,the whole class used to write one mail,kila mtu na sentance yake,then use recycled stamps...tumia colgate na toilet role to recycle.
8.Mlikuwa mnaimba national anthem on Mondays or fridays or both,half the time off tune or corrupted words.
9.Guyz used to skive preps kuenda kulala ama kuwasha.
10.Guyz used to extend kwa CU room ati ndio msihandwe na mafourth.
11.Breko ilikuwa kuhatishana....unahatisha wadhii mkate na blueband.
12.U had the most insensible prefects...manze unambaiya keroro sato usiku lakini monday yeye ndio anakukinda kwa princi...ati uliskive chuo.
13.Guyz used to skip showerz like crazy...unashower siku tatu kwa term;siku ya kuopen chuo,siku ya kuenda home mid-term,na siku ya kufunga chuo.Ukijaribu sana ni siku nne aterm,with the fourth one being either siku ya music fests ama CU weekend.
14.Maboyzz used to soma mail zilikuwa zimetoka kwa mamanzi zao to the whole class,unamark na kuweka marks,then return the mail to whoever wrote it.
15.Music fests.....hebu jitokeze,jionyeshe....skills za kukatia.
16.In relation to number 15,manze mono angeslice fourth former manzi wake....ati kamutii
17.Time ya music fests ilikuwa time ya kuamshana mashati...if u left urs hanging ukirudi kumbe ilicrossi kitambo...or ilibadilishwa ukaachiwa the dirty one.
18.Siku ya box inspection......manze mna keroro kwa keja lakini ondiso hataiona...wherever watu walikuwa wakificha.
19.Siku ya challenge weekend population ya wakristo used to go up...kuimpress mamanzi.
20.U had more role calls on the weekends than on the weekdays.
21.We had the most ridiculous names for schools....Quabzz,changez,ditchez,boma,bush,quortet,patch,patch fake,chox.
22.The Insyder....enuff said!!
23.Academic Bonfire after KCSE....who wouldn't miss that??
24.U actually knew colors za tai za every school,na during music fests ulisove moja plus sweater yako from someone from the other school.
25.U went to a symposium kuhanya.....ehh i know i will hear an amen hapo!!
26.After KCSE....Leaver's Rock.
27.Uliperfect skill ya kurewind skirts,blouses na shati during the school term.
28.Ilikuwa inafika friday afternoon unaanza kutafuta ni trip gani to a certain school utadandia.
29. Manze guyz used to ngojea mpaka stima zilost....NO PREP.
30. Githeri 24/7....change only occured when u go home.
31. How about monolization....manze u r told shika shoe brush usugue mti hadi it becomes as clean as ur home.....na unaambiwa utumie OMO.
32. Who kumbukaz the sign DO NOT STEP ON THE GRASS.Do that and u would regret it.
33. In relation to funkiez,the school bus would come back with more people than actually left the school to begin with.
34. Wakati wa breakfast,lunch or dinner,u had to pray with one eye and the other eye opened,otherwise by the time umemaliza kuomba,fourth former alishacrosi na dibre ama nyagu za table....talk of the table system.
35. Break time the shopkepper was the best friend.Everyone used to scrum hapo...ati vibrator and half loaf.
36.Who remembers the crap which was called sato entertainment???
37.For some of you,mlilala na chuma chini ya godoro...ati weapons of mass destruction!!!
38.People did everything possible to have a funkie their school....in the name of kuleta members of the opposite sex.As a result,hungejua there were some clubs in some schools hadi you see mabasi za chuo ya opposite sex...thats when u realised there was a club like that.
No comments:
Post a Comment